Nachukua, nafasi hii kuwashukulu ndugu na jamaa wote.
#R.I.P Mam Yang Kipenz Pumzika Kwa Amani Wanao Tulikupenda ila Mungu Alikupenda Zaid Nilipenda Siku Moja Nikuone Ukicheza Na Wajukuu Zako Mama Ila Binadam Ukipanga Lako Na Mungu Hupanga Yake Naamin Kimwili Hatuko Nawe Ila Kimoyo Uko Nasisi Pumzika Kwa Aman Mama Umetuachia Pengo Kubwa Sana Wanao Hapa Dunian IIa Yote ni Mingapo Ya Mungu Umetangulia Ipo Siku Tutaonana Tena .. Iov u My Mama
Tutakupenda Milele Na Milele.
Rest In Peace. Juliana Simon Kalolo
By SPORTYLEO MEDIA LTD - Aug 17, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment