HISTORIA YA MAISHA YANGU
2012-2018
Kwamajina Naitwa (Justin Frank Muyinga) Nimezliwa Mwaka (1996) Katika Kijiji Cha Ruaha Wilaya Ya Kilosa Dini Yangu Ni (Mkristo) Kabila Langu Ni (Muehe)Ni mtoto Wamwisho Katika Familia Ya Muyinga Katika Watoto 8 Wazazi Wangu Wote Nikabila Moja Wote Ni Waehe Kwamajina Yao Wote Mama Yangu., (Juliana Simoni Kalolo) Kutokea Kijiji Cha (Kalenga) Kazaliwa Mwaka (1964)., Na Baba Yangu (Frank Hasuman Muyinga) Kutokea Kijiji Cha (Usokomi) Kazaliwa Mwaka (1957)., Nilinza Masoma Yangu Ya Shule Ya Msingi Ujirani Ambayo Hipo Katika Kijiji Icho Cha Ruaha Mnamo Mwaka (2002) Nikiwa Darasa la Wali Wakati Huo Kikiwa Naumri Wa Miaka (6) Wakati Huo Niliendea Na Masomo Yangu Mpaka Kufikia Mwaka (2008) Nikiwa Na Umri Wa Miaka (12) Sikuweza Kumaliza Masomo Yangu Ya Shule Ya Msingi Kutokana Na Mtatizo Ya Kifamilia Wakati Nikiwa Nasoma Shulen Hapo Maisha Ya Nyumban Kwetu Yalikuwa Siyo Mazuri Sana Kutoka Na Ugomvi Wa Baba na Mama Hapo Nyumbani Ambapo Uliduma Kwamda Wa Miez (9)Wakati Uwo Ndio Ulikuwa Mwaka (2012) Pia Mwaka Uwo Uwo Ndipo Naye Baba Yangu Alikuwa Anajianda Kuludi Nyumban (Iringa) Baba Yangu Alikuwa Ni Mwajiriwa Wa Kampuni Ya Illovo Suger Ambayo Ni Kiwanda Cha Miwa Kilichokuwa Hapa Hapa Kijiji Cha Ruaha., Kwaka Uwo Uwo Tena (2012) Mwezi Wa (9) Mama Yangu Aliomba Kuadi Taraka Yake Kwa Baba Yangu Kutokana Na Matatizo Ya Ugomvi Ndani Ya Nyumba Kutopungua Kwaiyo Baba Na Mama Wakawa Wametengana Ilipofikia Mwezi Wa (12) Kwaka Uwo Uwo (2012) Ndipo Baba Aliondoka Ruaha Nakwenda Kuishi Tena (Iringa)Kutokana Na Kazi Aliyokuwa Anafanya Katika Kampuni Iyo Ya (Illovo Suger) Baba Alikuwa Amestaafu Kazi., Wakati Baba Ameondo Ruaha Na Mama Alikuwa Yeye Nimfanya Bishara Wa Kuuza Mboga Kwaiyo Nikawa Na Msaidia Mama Kuuza Mboga Ililamladi Tupate Pesa Ya Matumizi Ilipofika Mwaka (2013) Mwezi Wa (1) Bado Maisha Yetu Mim Na Mama Yalikuwa Bado Ni Magumu Sana., Kwaiyo Ilibidi Nikaishi Kwanza Kwa Dada Yangu (Ashura) Ambaye Yeye Alikuwa Tayari Ameolewa Nilikaa Pale Kwamda Mlefu Kidogo Kama Miezi (6) Ila Maisha Yangu Yakilikuwa Bado Ni Magum Sana Na Kutokna Na Baba Ambaye Aliondoka Ruaha Bila KUNIACHIA Kitu Chochote Kile, Nilipoona Maisha Yangu Bado Ni Magumu Sana Na Wakati Uwo Tayari Shule Nilisimama Kwaiyo Nikawa Tuu Mtoto Wamtaan Uku Nikiwa Bado Namsaidia Mama Yangu Kuuza Mboga., Nlilikuwa Naweza Nikatumia Mda Mfupi Sana Kutembeza Mboga Kwaiyo Mda Mwengine Nikawa Nautumia Kutembea Tuu Mtaan Kutafuta Machuma Au Kuni Nikauze Ili Nipate Pesa ya Kutumia Mim Mwenyewe., Nakumbuka Ilipofika Tena Mwezi Wa (8) Mwaka (2013) Niliamua Kuondoka Kwadada Yangu Na Kwenda Kuomba Kuishi Kwa Broo Wangu Ambaye Yeye Alikuwa Bado Yupo Kwenye Nyumba Za Kampuni Ya (UnitransTanzania) George Kimario Namskukuru Mungu Alinipenda Nakunijari Kama Mdogowake Wakuzaliwa Na Mimi Katika Tumbo Moja., Wakati Uwo Nilipokuwa Kwa Broo Wangu Niliendea Kushi Pale Kwamada Mlefu Sana Ilipofika Mwezi (12) Mwaka (2013) Wakati Bado Mimi Nipo Kwa Broo Kunasiku Nilienda Kumtembelea Mama Sikuweza Kuwamini Kama Ile Ya Biashara Yake Ya Mboga Iliweza Kumbadilishia Maisha Yake Alinza Kupata Mafanikuo Makubwa Sana Kutokana Na Biashara Yake Ile Ya Mboga Mboga, Mwaka (2014) Mwezi Wa (3) Wati Bado Nipo Kwa Broo Wangu George Namshukuru Mungu Aliweza Kunitafutia Kazi Katika Kampuni Ya (UnitransTanzania)Aliyokuwa Akifanyia Kazi Yeye., Niliweza Kufanya Kazi Katika Kampuni Iyo Niliendea Na Kazi Hapo Mpaka Mnamo Mkwaka (2014) Mpaka (2015) Ila Wakati Nipo Kazini Nilipokea Taharifa Ya Kusikitisha Sana Kuwa Kaka Yangu (Abdallah Saidi Mikashikashi) Wakwanza Katika Familia Yetu Kuwa Amefariki Dunia Kipindi Icho Nipo Kazin Nilishindwa Kuendelea Nakazi Kwasiku Ile Nikachukua Ruhusa Kazi Kwajiri Ya Mazishi Ya Kaka Yangu., Namshukuru Mungu Swala La Mazishi Lilienda Salama., Basi Ilipofika (2016) Mwezi (3) Niliamua Kuacha Kazi Katika Kampuni Iyo Pia Nilipojaza Mafau Yangu Ya (NSSF) Wakati Nasubiria Pesa Yangu Kutoka Katika Mfuko Uwo Wa Nssf Niliamua kwenda Kwanza (Iringa) Kumsalimia Baba., Nilikaa Uko Kwa Baba Kwamda Wawiki Mbili Alafu Nikaludi Tena Ruaha Kwajiri Ya Kufatiria Mafau Yangu Ya Nssf Nilipo Ludi Tena Ruaha Nikamwambia Broo George Kama Kwasasa Naitaji Nianze Maisha Ya Kujitegemea Mwenyewe Broo Akasema Sawa Basi Nilipotoka Kwa Broo Nilienda Kupanga Mtaa Mmoja Unatwa Mikoloshini Ambao Upo Hapa hapa Katika Kijiji Cha Ruaha Ila Ntangia Hapo Kufikia Mwezi Wa (5) Mwaka (2016) Baada Ya Pesa Yangu Kutoka Ya Nssf Nikaamua Kununua Pikipiki Na Kuwanza Kazi Ya Kujiajiri Mwenyewe Kwenye Shuguri Yangu Ya Bodaboda Niliendea Na Kazi Iyo Kwamda Mlefu Sana Na Kuwanza Kuona Mafanikio Makubwa Sana Katika Kazi Iyo Ila Ilipofikia Mwaka (2017) Mwezi (6) Mama Yangu Naye Alianza Kusumbulia Na Natatizo La Mguu Wake Mmoja Ambao Ali Iyo Ilikuwa ikimsumbua Sana Na Kushindwa Kufanya Kazi Kama Hapo Mwanzo Kabisa Kutokana Na Maisha Yalikuwa Bado Yapo Vizuri Uku kiendelea Nashuguri Yake Ya Kuuza Mboga Ila Alikuwa Bado Anasumbuliwa Na Tatizo La Mguu Wake Ila Ilipofikia Mwezi Wa (8) Mwaka (2017) Mama Alipata Taharifa Kuwa Kaka Yake Anaumwa Sana Ilibidi Mama Ajiandae Na Safari Ya Kwenda Kumfata Kaka Yake Uko Kijijin Kalenga (Iringa) Alipofika Uko Kweli Alimkuta Kaka Yake Ali Yake Siyo Nzuri Sana Kwaiyo Ikabidi Aludi Naye Ruaha Ambapo Mama Alikuwa Akifanyia Biashara Na Makazi Yake., Alipofika Naye Uku Ruaha Mama Ikabidi Ampeleke Kwenye Hospital Ya Kidodi Ambayo Ipo Uku Ruaha Baada Ya Hapo Mjomba Alianza Kupatiwa Matibabu Katika Hospital Iyo Ila Baada Ya Kufanyiwa Uchunguz Na Madaktari Tulisuburi Kwamda Wa Masaa (48) Kwamda Wa Siku Mbili Baada Ya Uchunguzi Uwo Wa Madaktari Wakatupa Taharifa Kwamba Mjomba Ali Yake Ya Kiafya Siyo Nzuri Sana Mama Alipo Wauliza Tatizo Lake Asa Kubwa Ninin Madaktari Wakabidi Watupe Taharifa Kuusu Swala La Mjomna La Tatizo Lake Rinalo Msumbua Kuwa Ni Mapafu Yake Yalikuwa Tayari Yamealibika Sana Na Ilo Swala Limechangiwa Na Matuzi Ya Sigara Ambayo Alikuwa Anavuta Sigara Sana Alafu Chakula Ali Vizuri Basi Aliendea Kukaa Pale Hospital Ila Ilipoka Mwezi Wa (11) Mwaka (2017) Mjomba Akawa Amefariki Duania.., Basi Kufikia Mwaka (2018)Mwezi Wa (2) Mama Akawa Bado Anaendelea Na Biashara Yake Ya Kuuzu Mboga Uku Akiwa Bado Anasumbuliwa Na Tatizo Lake La Mguu Kufikia Mwezi Wa (4) Mwaka (2018) Mama Naye Akashindwa Kabisa Kwenda Kwenye Shuguri Zake Za Kuuza Mboga Kutokana Na Ule Mguu Kuendelea Kumsumbua Sana Baada Ya Wiki Moja Kupita Mama Naye Alikaye Inazidi Kubalika Kutokana Na Ule Mguu Wake Na Kushidwa Kufanya Kazi Kabisa Akawa Yeye Ni Mtu Wa Kukaa nyumbani tu ., Basi Na Mimi Nilikuwa Bado Najishugulisha Na Kazi Yangu Ya BodaBoda Kufikia Mwezi Wa (5) Mwaka (2018) Ndipo Nlianza Kumuangaikia Mama Kwajiri Ya Matibabu Nilienda Hospital (K1)Ambayo Hipo (Kilombero) Akapatiwa Matibau Katika Hospitali Iyo Na Kumwambia Kuwa Mguu Wake Umejaa Maji Kweli Dokta Aliyatoa Yale Maji Na Kupatiwa Dawa Za Kuludi Nazo Nyumbani., Ila Baada Ya Mwezi Mmoja Tena Kupita Ile Ali Ikajiludia Tena. Kuona Ile Ali Yake Bado Ikabidi Nitafute Tena Pesa Nimpeleke Hospital Uku Nikiwa Bado Kwenye Kazi Yangu Ileile Ya BodaBoda Nilfanikiwa Kupata Pesa Na Kumpeleka Hospital Kubwa Ya (Ifakara)Ambayo Hipo Wilaya Ya (Kilombero) Kufika Hospital Uko Alipatiwa Matibabu Na Kupatiwa Dawa Ila Katika Hospital Iyo Atukupewa Majibu Yeyote Kuusina Na Natatizo La Mguu Wake Mama., Tulipo Ludi Nyumbani Tena Ruaha Akawa Anaendelea Na Dawa Zile Alizopewa Hospital Kule Hospital Ya (Ifakara) Baada Mwezi Wa (7) Mwaka (2018) Nikaona Ali Yake Mama Bado Ikabidi Nimpeleke Tena Kwenye Ile Hospital Ya Mwanzo Ya (K1) Kufika Kule Tena Katika Iyo Hospital Tukamuona Daktari Akasema Kutokana Na Ali Ya Mama Yako Ilivyo Itabidi Nikupe Transifa Ya Kwenda Nayo Hospital Ya (Muhimbili) Daktari Akasema Kwa Hapa Atuwezi Kwa Tatizo Lake Mama Yako., Baada Ya Muda Kidigo Nilisafiri Kwenda (Iringa) Kumsalimia Baba., Uku Nikimuacha Mama Akiwa Yupo Na Dada., Wakati Nipo Iringa Kwa Baba.. Dada Yangu Naye Alijarilbu Kumpeleka Kwenye Hospital Moja Ambayo Hipo Maeneo Ya Msolwa Ujamaa Hipo Katika Wiliya Iyo Iyo Ya (Kilombero) Alipofika Naye Katika Hospiata Iyo Akapaitiwa Vipimo Mama., Wakati Nipo Iringa Dada Akanipigia Simu Na Kuniambia Kuwa Mama Anasumbuliwa Na Tatizo La Bakteria Ambao Wapo Katikati Ya Mifupa Yake Wanaishambulia Mifupa Ya Mguu Wake Uwo Kwaiyo Akapatiwa Dawa Za Kutumia Na Akambiwa Kila Baada Ya Wiki Moja Aje Kuchukua Dawa Zengine., Ila Alipotoka Naye Mama Pale Katika Hospital Iyo Nakuludi Naye Nyumbani., Na Mimi Nikawa Kama Kesho Yake Ndio naludi Tena Ruaha Kutokea Kwa Baba Ambapo Nilipoenda Kumsalimia., Nilipofika Nyumbani Iyo Kesho Yake Nilimkuta Mama Anaendelea VIzuri Ila Siyo Sana., Baada Ya Kufikia Mwezi (8) Mwaka (2018) Mama Ali Yake Ilikuwa Ni Mbaya Sana Akawa Awezi Kutembea Wala Kusimama Akawa Yeye Ni Mtu Wa Kulala Mda Wote Kwaiyo Nikakumbuka Kwamba Ile Hospital Ya (K1) Tulipewa Transifa Ya Kwenda Nayo Hospital Ya Muhimbili Kwaiyo Kutokana Na Pesa Tukawa Atuna Kwaiyo Tukashauliana Na Dada Yangu Kwamba Nikakope Pesa Kwamtu Ili Tumpeleke Mama Hospital Hapo Hapo Nikamwambia Dada Kuwa Mimi Ntaweka Pikipiki Yangu Kama Zamana Ili Tupate Pesa Ili Tukamtibie Mama., Dada Yangu Akaesema Sawa Kwaiyo Nikamtafuta Bwana Mmoja Ambaye Anaitwa Minja Nikaongea Naye Na Kuweka Pikipiki Iyo Kama Zamana Ili Mimi Nipate Pesa Namshukulu Mungu Nilifanikisha Kupata Pesa Siku Ile Ile Nilipopata Ile Pesa Nikaludi Nyumbani Na Kumwambia Dada Kwamba Pesa Tayari Nimepata Kwaiyo Nikamwambia Dada Amuandae Mama Kwajiri Ya Safari Kuelekea Hospital Ya Jijini (Dar ES salam) Ya (Muhimbili) Wakati Sasa Mama Kashamuandaa Sasa Nambeba Mama Kwajiri Ya Kumuweka Kwenye Bajaji Ili Tuelekee Stendi Tukakuta Ile Gafra Tu Mguu Wake Ule Uliyokuwa Ukimsumbua Umevunjika Mfupa Wake Wandani Gafra Tu., Kwaiyo Ikawa Imeshindika Kuondoka Ile Siku Baada Ali Yake Kuonekana Ni Mbaya Sana Kwaiyo Ikabidi Tumpeleke Tena Kwenye Ile Hospital Ya (K1) Kumpeleka Tena Kule Hospital Alipatiwa Matibabu Ya Uduma Ya Kwanza Wakamfunga PipyuPipyu Mguu Mzima Kwaiyo Ile Siku Ikabid Alale Pale Pale Hospitalin Hapo Kesho Yake Tukarusiwa Kuludi Nyumbani., Baada Ya Kutoka Hospitalain Uko Nikaongea Na Dada Nikamwambia Kuwa Kwasasa Ule Mguu Wake Umevunjia Nikambwambia Kuawa Sizani Kama Kutakuwa Na Umuim Tena Wa Kuelekea Muhimbili Nilimwambia Dada Kwamba Hapa Naona Tu Tumpeleke Hospital Iringa Ya Mkowa Ya Mifupa Pale Ilula Dada Akasema Nisawa Kwaiyo Tulikaa Pale Tena Siku Moja Nyumbani Kesho Yake Asubuhi Tukaenda Kukwea Gari Na Kuelekea Iringa., Kufika Uko Iringa Namshukulu Tulifika Salama Na Kupokelewa Na Wenyeji Wapale Ila Kwaku Ile Tuliyofika Ilikuwa Nisiyo Siku Ya Kuudumia Wagonjwa Kwaiyo Tulikaa Siku Moja Tena Pale Kesho Yake Alianza Kupatiwa Matibabu Ya Mifupa Na Mimi Ile Siku Ya Kesho Yako Kuona Mama Anaendelea Vizuri Namatibabu Nliamua Niludi Nyumani Nakumuacha Dada Uko Iringa Akiwa Anamuguza Mama Na Mimi Kisha Kuludi Nyumbani Kutafuta Pesa Ya Kwajiri Ya Kuwatumia Kule Kwajiri Ya Matumizi Baada Ya Wiki Moja Tena Kupita Dada Akanipigia Simu Kuwa Ali Ya Mama Bado Siyo Nzuri Sana., Mama Akasema Naomba Niludi Nyumban Kwanza Nipumzike Madaktari Walimkubaria Pale Kutoka Kuludi Nyumba Ila Uku Ali Yake Ikiwa Bado Ni Mbaya Sana., Walipo Rudi Nyumbani Namshukuru Mungu Walifika Salama Ila Aliyake Ikiwa Bado Ni Mbaya Sana Ikafika Kipindi Akawa Dawa Ataki Kabisa Na chakula Akila Akiendi Kabisa., Kwaiyo Siku Ambayo Kesho Yake Naondoka Nilimuaga Mama Kwamba Mimi Naondoka Ruaha Naenda Dodoma Kutafuta Maisha Namshukulu Mungu Mama Alinirusu Kuondoka Kwenda Uko., Nilipofika Kule Dodoma Nilikaa Kama Siku (4) Ambapo Kufikia Taree 15/08/2018 Mida Ya Usiku Wakati Nipo Dodoma Nikapigiwa Simu Na Shemeji Ambaye Ni Mume Wake Na Dada Ilikuwa Mda Kama Wa Saa (10) Asubuhi Kwamba Mama Yako Amefari Dunia Nilipopata Taharifa Iyo Mmmmh Uku Nikiwa Na Masikitiko Makubwa Sana Juu Ya Mama Yangu Nilipokuwa Natoka Uko Dodoma Nilikuwa Nalia Njia Nzima Kwamachungu Niliyo Kuwa Nayo Sikuweza Kuwa Na Amani tena Kutokana Na Tulivyo Muangaikia Mama Yetu Mimi Na Dada Yangu., Kwasasa Bado Maisha Yangu Yapo Kwenye Masikitiko Sana Kwajiri Ya Kututoka Mama Yetu…
Mama Yangu
No comments:
Post a Comment