Maimartha kwa Jide :-Mwanamke Bora ni Mwenye Kusamehe na Huruma - NOA Swahili

Mobile Menu

Posts Title Display

Top Ads

Responsive Leaderboard Ad Area with adjustable height and width.

More News

logoblog

Maimartha kwa Jide :-Mwanamke Bora ni Mwenye Kusamehe na Huruma

Mar 16, 2019
Maimartha  kwa Jide :-Mwanamke Bora ni Mwenye Kusamehe na Huruma 


Ikiwa bado mamia ya wtau wakimzonga na kumuandama mwanadada lady jay dee huku wakikumbuka maneno yake ya mwisho aliyowahi kusema kuhsuu viongozi w Clouds media group akiwemo Ruge pamoja na mkurugenzi mwenzake Josph kusaga kuwa hatokaa kukuanyaga katika misbia yake na ndivyo alivyofanya katika siku ya msiba wa Ruge. Maimartha aliamua kuongea na mwanadada huyo kwa kumwambia kuwa alitakiwa kujifunza kukaa kimya kwa hilo.
akindika katika ukurasa wake wa instagram hasa baada ya kuona kuwa kumekuwa na muamko mkubwa wa watu wakisema na kukumbuka maneno hayo huko mwanadada huyo akionekana hayuko mwenye kujali kuhusu msiba huo, maimartha anasema kuwa yeye kama mwanamke alitakiwa kusamehe na kuyaacha hayo yapite na wala sio kuongea kama alivyoongea.
Maimartha anasema kuwa mwanamke bora n yule mwenye  huruma kila siku na kusamehe na sio kukaa na kitu moyoni na kutaka kulipiza kisasi.

No comments:

Post a Comment