SIMBA YAIBUKA 'KIDUME' SAKATA LA UDHAMINI WA GSM...BODI YA LIGI WASALIMU AMRI... - NOA Swahili

Mobile Menu

Posts Title Display

Top Ads

Responsive Leaderboard Ad Area with adjustable height and width.

More News

logoblog

SIMBA YAIBUKA 'KIDUME' SAKATA LA UDHAMINI WA GSM...BODI YA LIGI WASALIMU AMRI...

Dec 18, 2021

Klabu 15 kati ya 16 zinazoshiriki Ligi Kuu ya Bara zimetoka na azimio la kuunga mkono Udhamini wa Kampuni ya GSM kwenye Ligi hiyo na ziko tayari kuvaa nembo za Mdhamini huyo mwenza wa Ligi hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa ya Bodi ya Ligi iliyotolewa vilabu hivyo pia vinepongeza juhudi za TFF na Bodi ya Ligi kusaka wadhamini na zimeomba kuendelea na juhudi za kusaka wadhamini wengine.




No comments:

Post a Comment