Mkude amekanusha hilo kupitia show ya #LaviDavi ya Wasafi Fm, akijibu moja ya maswali ya mtangazaji @divatheebawse alietaka kujua kama ni kweli au la! Jambo ambalo Mkude amekanusha na kudai Morrison ni mtu mcheshi na alizungumza suala hilo katika hali ya ucheshi tu.
No comments:
Post a Comment