VITA ya URUSI vs UKRAINE: NI UBABAE wa KUONESHANA SILAHA za HATARI, NINI KIPO NYUMA YA PAZIA??
By SPORTYLEO MEDIA LTD - Feb 26, 2022
#RussiavsUkraine #VitaUrusinaUkraine #UkweliTV VITA ya URUSI vs UKRAINE: NI UBABAE wa KUONESHANA SILAHA za HATARI, NINI KIPO NYUMA YA PAZIA?? VITA imeendelea kati ya taifa la Vladmir Putin (Urusi) na Ukraine ambapo mpaka tunapanda mitamboni baadhi ya askari wanahofiwa kuwa wamefariki. Hata hivyo mzozo huu haujatokea ghafla bali ni chokochoko ndogo ndogo nyingi zilizopelekea mataifa haya kufikia hapa. Ukweli TV Kupitia Mwandishi Wetu Msomi, Isaya Mbwambo, tumekuandalia makala fupi inayotoa muhtasari wa chanzo cha mzozo huo. Fuatilia Simulizi na Khadija Mzee...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment