BAADA YA FUJO ZA YANGA JANA....WACHEZAJI , MANARA NA SENZO WALIAMSHA KIMTINDO. - NOA Swahili

Mobile Menu

Posts Title Display

Top Ads

Responsive Leaderboard Ad Area with adjustable height and width.

More News

logoblog

BAADA YA FUJO ZA YANGA JANA....WACHEZAJI , MANARA NA SENZO WALIAMSHA KIMTINDO.

Jun 27, 2022


  Kama kuna watu ambao wana furaha kubwa , basi ni wachezaji wa Yanga ya Dar es Salaam.

Wachezaji hao tangu walipowasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam na kupanda katika gari la wazi kutembeza kombe lao, wamekuwa wakionesha furaha kubwa kwa mamia ya mashabiki waliojipanga mitaa mbalimbali ambako basi lao lilipita.

“Asanteni sana. Asanteni,” hizo ni kauli zilizokuw
a zikitolewa na wachezaji hao huku wakionesha ishara ya kushukuru kwa mashabiki.

Wachezaji Fiston Kalala Mayele, Khalid Aucho, Djuma Shaaban, Feisal Salum walikuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki katika mitaa ambayo gari lao lilipita.

No comments:

Post a Comment