Msafara wa Waziri Makamba wasimamishwa njiani Wilayani Makete, ajibu maswali ya Wananchi
By
SPORTYLEO MEDIA LTD
-
Jul 30, 2022
Wananchi wa kijiji cha Bulongwa kilichopo wilaya ya Makete Mkoani Njombe wamelazimika kusimamisha msafara wa Waziri wa nishati Januari Makamba kwa lengo la kupewa ufafanuzi juu ya kuanza kwa mradi wa umeme wa maji wa Rumakali ulioanza usanifu tangu mwaka 1998.
No comments:
Post a Comment