Exclusive: Huyu ndiye Dj Skad aliyepitia magumu, kuuza mkaa mpaka kupanda stage moja na Burna Boy - NOA Swahili

Mobile Menu

Posts Title Display

Top Ads

Responsive Leaderboard Ad Area with adjustable height and width.

More News

logoblog

Exclusive: Huyu ndiye Dj Skad aliyepitia magumu, kuuza mkaa mpaka kupanda stage moja na Burna Boy

Sep 1, 2022

Leo Nakutanisha na DJ Skadi ambae amekaa kwenye Exclusive interivew kuelezea maisha aliyopitia mpaka kuwa DJ.

Skadi anaingia kwenye orodhaa ya Ma DJ wakali kutoka Tanzania wanaofanya vizuri katika tasnia ya Muziki hususani Club, Bars hata Matamasha mbalimbali.

Na katika mahojiano hayo ameeleza yale aliyoyapitia maishani kuanzia kuuza mkaa kuwa konda wa Daladala na mengineyo.



No comments:

Post a Comment