
Kuna wanaume kuwa nao kwenye mahusiano wanaweza kukupotezea sana muda na, hakuna mwanaume mbaya hata siku moja na kwamba hakuna mtu mkamilifu katika mapenzi lakini inapofikia wakati inabidi kutambua kuwa mwanaume uliyenae ni sahihi kwako au la.
kwa wanawake, sio kila mwanaume anaekufata na kukutongoza anakuwa anataka kuwa na wewe, unaweza kuwa na mwanaume na kudumu nae katika mahusiano kwa muda mrefu lakini kichwani mwake anajua kuwa wewe sio mkewe na muda wake wa kuoa ukifika anakuachilia mbali.
No comments:
Post a Comment