Mambo Ya Kufanya Ili Kuzuia Marafiki Kuingilia Mapenzi Yenu - NOA Swahili

Mobile Menu

Posts Title Display

Top Ads

Responsive Leaderboard Ad Area with adjustable height and width.

More News

logoblog

Mambo Ya Kufanya Ili Kuzuia Marafiki Kuingilia Mapenzi Yenu

Oct 16, 2018
Kwenye mapenzi ni vizuri kwa kila mmoja kuwa na marafiki nje ya Mahusiano hii itasaidia kupeana nafasi na kila mtu kupata muda wa kufanya mambo yake bila kufuatana fuatana na kubanana muda wote.
Hata hivyo kuna wakati  marafiki wanaweza kuwa ‘sumu’ ya mahusiano yako, hasa pale unapowategemea sana kutoa msaada, maoni au maelekezo katika maisha yako ya mapenzi.

No comments:

Post a Comment