Mbasha Azidi Kumchokonoa Mc Pilipili
By SPORTYLEO MEDIA LTD - Oct 26, 2018Msanii wa nyimbo za Injili nchini Emmanuel Mbasha ameibuka na kumtupia madongo Mshehereshaji maarufu Emmanuel Mathias ‘Mc Pilipili’ baada ya kupiga picha akiwa na mpenzi wake.
Siku chache zilizopita Mc Pilipili aliposti picha Mtandaoni akiwa na mpenzi wake anajulikana kama Qute Mena lakini mara moja Mbasha alimtolea povu Mc Pilipili na kudai kwa kufanya hivyo amekiuka taratibu za kidini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment