Rich Mavoko Afungukia Mahusiano Yake na Lulu Diva na Mipango Ya Ndoa
By SPORTYLEO MEDIA LTD - Oct 26, 2018Msanii wa muziki wa Bongo fleva Richard Martin maarufu kwa Jina la usanii kama ‘Rich Mavoko’ amefunguka na kuweka wazi kuhusiana na tetesi za Mahusiano Yake na Lulu Diva.
Kunekuwa na tetesi za muda mrefu kuwa Rich Mavoko na Msanii mwenzake Lulu Diva wapo Kwenye Mahusiano ingawa wamekuwa wakikataa mara kwa mara lakini bado tetesi hizo zimekuwa zikiwaandama.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment