Home ›
Mambo kumi na tano aliyozungumza Zitto Kabwe leo
By SPORTYLEO MEDIA LTD - Mar 26, 2019Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe leo March 26, 2019 amezungumza na Waandishi wa Habari juu ya kinachoendelea baina yao na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa alietangaza kutaka kukifuta Chama hicho.
Nimekusogezea mambo kumi na tano aliyozungumza Zitto Kabwe na Waandishi wa Habari katika Ofisi za ACT Wazalendo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment