Tanzania: Upinzani waitaka serikali kutoa maelezo kuhusu kutekwa kwa Mdude - NOA Swahili

Mobile Menu

Posts Title Display

Top Ads

Responsive Leaderboard Ad Area with adjustable height and width.

More News

logoblog

Tanzania: Upinzani waitaka serikali kutoa maelezo kuhusu kutekwa kwa Mdude

May 9, 2019



Kufuatia kupatikana kwa mwanaharakati wa chama cha Upinzani cha
Chadema, Mdude Nyagali, baada ya kutekwa na watu wasiojulikana siku tano
zilizopita, viongozi wa chama hicho, sasa wanaitaka serikali kutoa
taarifa kamili kuhusu ni nani aliyemteka mwanasiasa huyo.

Mdude alipatikana jana usiku akiwa na majeraha kadhaa, na anaendelea kupokea matibabu katika hospitali moja ya mkoa wa mbeya.

VOA imezungumza na afisa wa chama cha Chadema katika mji wa Mbeya,
John David Mwambigija, na kuanza kwa kumuuliza mwanaharakati huyo
alipatikana katika mazingira gani?


No comments:

Post a Comment