Home ›
Mapokezi ya Diamond Congo, mashabiki wazuia msafara wak, wasikika wakimtaja ‘Hayati Magufuli’
By SPORTYLEO MEDIA LTD - Jul 30, 2022
Ni Mwendelezo wa shows za Mkali kutokea Bongo Flevani, Diamond Platnumz ambae time hii ameshawasili nchini Congo kwa ajili ya kutua burudani.
Hapa nimekusogezea video hii ushuhudie mapokezi yake pamoja na Raia wakisikika wakimtaja Rais wa awamu wa tano hayati John Pombe Magufuli.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment