Mkali wa Amapiano kuinogesha Maison Club Usiku wa leo na July 31 Kidimbwi Beach - NOA Swahili

Mobile Menu

Posts Title Display

Top Ads

Responsive Leaderboard Ad Area with adjustable height and width.

More News

logoblog

Mkali wa Amapiano kuinogesha Maison Club Usiku wa leo na July 31 Kidimbwi Beach

Jul 30, 2022

Ni Mkali kutokea Afrika Kusini, Konke  ambae umaarufu wake ameibuka kwa kasi baada ya kusikika kwenye rekodi iliyopita kwenye mikono ya Musa Keys iitwayo Kancane.

Na Rekodi hiyo ya Kancane imekuwa ni miongoni mwa smash hit zinazotajwa kwasasa kufanya vizuri hususani kupitia platforms mbalimbali.

Na Good News ni kwamba Konke usiku wa leo July 30, 2022 anatarajiwa kuwaburudisha watanzania watakaofika Club Maison iliyopo Masaki na  Jumapili July 31, 2022 atatoa burudani pembezoni mwa fukwe za bahari ‘Kidimbwi Beach’ iliyopo Mbezi.

Unaweza ukabonyeza play kuusikiliza wimbo wake uitwao Kancane ambao unatajwa kuwa wimbo pendwa.




No comments:

Post a Comment