“Wema Anasumbuliwa na Pepo La Ngono”- Mwijaku
By SPORTYLEO MEDIA LTD - Oct 26, 2018Muigizaji maarufu wa Bongo movie anayejulikana kama Mwijaku ameibuka na kudai kwamba Msanii mwenzake Madam Wema Sepetu anasumbuliwa na pepo la ngono.
Mwijaku amefunguka hayo alipokuwa anaongelea skendo inayomuandama Wema Sepetu hivi sasa ya kusambaa kwa picha na video akiwa faragha chumbani na mpenzi wake anayeitwa PCK.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment